Wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Tunapenda kuwatangazia ya kuwa,
Tutakuwa na misa yetu ya kiswahili Jumapili, tarehe 10 Mwezi Novemba 2019, kuanzia saa nane mchana. ( Sunday, 10 November 2019 at 2 pm).
Tunawakaribisheni wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.
Karibuni sana
Anwani yetu ni:
Kanisa la Mt. Cecilia,
120 East 106 Street,
New York, NY 10029.
Between Lexington and Park Avenue.
Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.
Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi.
Karibuni sana.
No comments:
Post a Comment