ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 7, 2019

WABUNGE WAPIGWA MSASA SEKTA YA UWEKEZAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji, Dkt. Raphael Chegeni akichangia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Najma Giga. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Prof. Longinus Rutasira akitoa maelezo wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Geofrey Mwambe akiwasilisha mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Uwekezaji, na Katiba na Sheria iliyofanyika katika ukumbi wa Msekwa Bunge jijini Dodoma leo tarehe 07/11/2019. Semina hiyo imeandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. (Picha na Idara ya Habari –MAELEZO)

No comments: