Advertisements

Sunday, December 1, 2019

KISOMO CHA HAYATI BI. ASHURA ALI MZEE DMV

Halima Ali (kulia) akiwa kwenye kisomo cha Hayati Bi. Ashura Ali Mzee kilichofanyika siku ya Jumamosi Dec. 30, 2019 Silver Spring, Maryland na kuhudhiriwa na waTanzania na marafiki zao waishio DMV. Kushoto ni Bi. Asha Hariz mmoja wa marafiki wa Halima.
Ustaadhi akitoa mawaidha baada ya kisomo.
 WaTanzania wakihudhuria kisomo cha Bi. Ashura Ali. Mzee.
  WaTanzania wakihudhuria kisomo cha Bi. Ashura Ali. Mzee.

Kushoto ni Mabenzi akiwa pamoja nae Makeo wakifuatilia kisomo.



Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: