Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. ambapo amesema Serikali ipo tayali kushirikiana na chama hicho pamoja na vyama vingie mradi tu sheria za nchi zizingatiwe.
ANGALIA LIVE NEWS
Friday, December 20, 2019
SERIKALI IPO TAYALI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA WATAALUMA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHAKULA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment