Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Mhe. WANG Ke.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai pamoja na ujumbe wake (kulia) katika mazungumzo na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan pamoja na ujumbe wake (kushoto) Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) kabla ya uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) mara baada ya uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (katikati) mara baada ya uzinduzi wa Mpango wa ushirikiano wa Asasi za Kirai za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa China nchini, Mhe. WANG Ke. (PICHA NA BUNGE)
No comments:
Post a Comment