ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2019

TAKUKURU YATAKIWA KUDHIBITI RUSHWA KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo akitoa taarifa ya utekelezaji ya TAKUKURU kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma leo
Baadhi ya viongozi wa TAKUKURU wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi hao uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma leo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) akiwa katika mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU uliofanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa, jijini Dodoma leo.

James K. Mwanamyoto
Afisa Habari
Ofisi ya Rais-Utumishi
0713 360 813

No comments: