Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha kuandaa taarifa za hesabu za majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (katikati), akiwa na viongozi waandamizi wa Wizara hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha kuandaa taarifa za hesabu za majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni CPA Aziz Kifile (Mhasibu Mkuu Msaidizi wa Serikali), Bw. John Sausi (Mkurugenzi wa Idara ya Mifumo ya Usimamizi wa Fedha), CPA Francis Mwakapalila (Mhasibu Mkuu wa Serikali), Bi. Mary Maganga (Naibu Katibu Mkuu), CPA Pius Maneno Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), na CPA Evansi Asenga (Mkuu wa Hazina Ndogo Dar es Salaam)
Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius Maneno na Mkuu wa Hazina Ndogo Dar es Salaam CPA Evansi Asenga wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi, Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (Hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Kuandaa taarifa za Hesabu za Majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), wakifurahia jambo na Mhasibu Mkuu wa Serikali CPA Francis Mwakapalila (katikati) na Mkurugenzi wa Mifumo ya Usimamizi wa Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. John Sausi, wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha kuandaa taarifa za Hesabu za Majumuisho za Serikali kwa mwaka wa Fedha 2018/19, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wahasibu kutoka mikoa mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha kuandaa taarifa za Hesabu za Majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na wahasibu (CPAs) wanawake wakati wa ufunguzi wa kKikao Kazi cha kuandaa taarifa za hesabu za majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na wahasibu wanawake (CPAs) wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha kuandaa taarifa za Hesabu za Majumuisho za Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19, kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)


No comments:
Post a Comment