ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 5, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI NA SOKO LA SAMAKI MALINDI ZANZIBAR IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea eneo la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri na (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi na Wavuvi kutoka sehemu mbalimbali ya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi na Wavuvi kutoka sehemu mbalimbali ya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika viwanja vya Malindi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
MWAKILISHI wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania.Bw.Katsutoshi Tadeka, akizungumza wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Zanzibar.ikiwa ni shamrashamra za kushrehekea Miaka 56 bya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya malindi (Picha na IKulu)
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia hafla hiyo, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki katika eneo la Malindi Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments: