ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 5, 2020

RC MWANRI AKABIDHI WATOTO WALIOKUWA WAMEPOTEA KWA WAZAZI WAO

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa kuwakabidhi wazazi wa watoto wawili waliopotea Mkoani Mbeya mwishoni mwa mwaka jana na kupatika Nzega na Tabora mjini. kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa na kushoto ni Askofu wa Kanisa la Anglican Tabora Elias Chakupewa.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto ) akisalimiana baba mzazi wa watoto waliokuwa wamepotea Mkoani Mbeya Juma Mashaka (katikati) leo baaya ya kuwakabidhi watoto wao waliopotea Mkoani Mbeya mwishoni mwa mwaka jana na kupatika Nzega na Tabora mjini. kulia ni mama mzazi wa watoto Zuhura Kaswa.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto ) akisalimiana mama mzazi wa watoto waliokuwa wamepotea Mkoani Mbeya Zuhura Kaswa (kulia) leo baaya ya kuwakabidhi watoto wao waliopotea Mkoani Mbeya mwishoni mwa mwaka jana na kupatika Nzega na Tabora mjini. katikati ni baba mzazi wa watoto Juma Mashaka.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto ) akibadilisha mawazo na wazazi wa watoto waliokuwa wamepotea Mkoani Mbeya baaya ya kuwakabidhi watoto wao . Kulia ni mama zazi wa watoto Zuhura Kaswa na Katikati ni baba mzazi Juma Mashaka

No comments: