ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 13, 2020

JK APIGA PICHA MLIMA KILIMANJARO AKITOKEA NAIROBI, KENYA

Kwa wapiga picha za habari unaweza kusema hii ndiyom picha bora ya kufungulia mwaka na picha hii ni ya Mlima mrefuy kuliko yote barani Afrika, Mlima Kilimanjaro, jambo la kugfurahisha picha hii imepigwa na mlezi wa chama cha wapiga picha za habari Tanzania, Mhe. Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. jakaya Kikwete akiwa kwenye ndege ya serikali (TGFA) akitokea Nairobi kwenye mazishi ya Rais mstaafu wa pili wa Kenya, marehemu Daniel Toroitich Arap Moi akirejea Dar es Salaam Februari 12, 2020 na haya ndiyo maelezo aliyoyaandika kwenye ukurasa wake wa twiiter yakiambatana na picha yenyewe. "What a wonderful bird's eye view of our beautiful Mount Kilimanjaro, I was able to capture today February 12th, 2020. I was on a TGFA flight from Nairobi to Dar es Salaam. I have never been this lucky before and I have seen this much snow.

No comments: