Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa Mtandao wa Viongozi wanawake Afrika kwenye Uzinduzi wa Mtandao wa Viongozi wanawake Afrika Tawi la Tanzania katika Ukumbi wa St. Gaspar Jijini bin Dodoma leo Febuari 26,2020 ambapo kauli mbiu ya Mtandao huo ni Wananwake na Uongozi Twende Pamoja Wakati ni huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mtandao wa Viongozi wanawake Afrika Tawi la Tanzania katika Ukumbi wa St. Gaspar Jijini Dodoma leo Febuari 26,2020 ambapo kauli mbiu ya Mtandao huo ni Wananwake na Uongozi Twende Pamoja Wakati ni huu.
Picha ya pamoja




No comments:
Post a Comment