Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Msomi na Mwanamajumui wa Muunganiko wa
Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya
kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Msomi Mwanamajumui wa Muunganiko wa
Bara la Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba)
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Msomi na Mwanamajumui wa Muungano wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu February 24. 2020. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja
Msomi na Mwanamajumui wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa
PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Msomi na Mwanamajumui wa Muunganiko wa
Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu zaidi kama Profesa PLO Lumumba) baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. (PICHA NA IKULU)





No comments:
Post a Comment