Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwakilishi wa Kansela wa Ujerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke baada ya kukutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Kansela Masualawa Ujerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke na ujumbe wake alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Kanali Ibuge
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwakilishi wa Kansela wa MasualaUjerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwakilishi wa wa MasuKansela Maalumuwa alaUjerumani anayeshughulikia Masuala ya Afrika wa Bw. Guenter Nooke alipokutana na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu February 24. 2020. (PICHA NA IKULU).






No comments:
Post a Comment