ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 22, 2020

ANGALIA LIVE safari ya mwisho ya mpendwa wetu Emmanuel Bandawe Ijumaa 22 Mei, 2020 Saa 9am ET/8am C/ 6am PT

VIJIMAMBO: EMANUEL BANDAWE (Mwamba). A man who need no ...
Safari ya mwisho ya mpendwa wetu Emmanuel Bandawe Ijumaa 22 Mei, 2020
Saa 9am ET/8am C/ 6am PT/ saa kumi jioni ya Tanzania, Saa tisa mchana Ujerumani/Uswiss, Saa nane mchana Uingereza.
Kwa nchi nyingine tafadhali angalia itakuwa saa ngapi kwako.

Ratiba ya misa itatumwa baadae. Wimbo wa pamoja utakuwa " Amazing Grace" (unapatikana mtandaoni)

Misa itaanza saa tatu kamili asubuhi.

bofya link hapo chini
http://www.stranofeeley.com/obituaries/permalink/9511021/LTWebcast

Kutumia link ya facebook ya Jumuiya ya Watanzania ATC/ DMV bofya

https://www.facebook.com/groups/1593683087387879/?ref=share

Heshima ya mwisho kwa njia ya "mobile visitation" itaanza 9:45 am EST/ 8:45 am C/ 6:45 PT, saa kumi na dakika arobaini na tano jioni muda wa Tanzania

Naomba ukipata hii message uwatumie na wenzio

Mungu ailaze roho ya Emmanuel mahali pema peponi.

Asanteni

Secelela Malecela, MD
( Kamati ya Mazishi)

No comments: