Alhaj Issihaka Kibodya wa pili kutoka kushoto (mwenye miwani).
Viongozi wa kiislaam wakiongozwa na sheikh mkuu wa Dodoma Mustafa Rajab walipotembelea magereza ya Isanga mjini Dodoma na kupokewa na Mkuu wa Magereza na wasaidizi wake walipokwenda kwa kutoa misaada mbali mbali ya vyakula na madawa kwa wafungwa.




No comments:
Post a Comment