Keki ya AJ kuashiria kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Williamsburg Virginia siku ya Jumamosi Disemba 18, 2021 na kuhudhriwa na marafiki zake wakiwemo wazazi wao.
Keki ikiwa tayari.
AJ akipuliza mshumaa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
AJ akijiandaa kukata keki.
AJ akikata keki.
Keki ikikatwa.
Sherehe ya kuadhimisha miaka 9, ya Birthday ya AJ ikiendlea.
Marafiki wa AJ wakijumuika pamoja.
Juu na chini ni chakkula chini ya Elegant (mama wa Ubatizo Eddah)
No comments:
Post a Comment