ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 27, 2021

PITAPITA YA VIJIMAMBO ACCOKEEK, MARYLAND

Kushoto ni Magoma akiwa na wageni wake siku ya Christmas nyumbani kwake Accokeek, Maryland alipofanya tafrija ya siku hiyo na kuwaalika mdugu, jamaa na marafiki kusherehekea na familia yake. Picha zaote na Vijimambo Blog.
Wageni waalikwa wakipakua chakula na mwenyeji wao.
Wageni waalikwa wakifurahia chakula.
Menyu ikiendelea.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments: