ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 18, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo tarehe 18 Desemba, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.

PICHA NA IKULU

No comments: