ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 7, 2022

NY EBRA ATOA MSAADA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA ARUSHA

NY Ebra (mwenye kofia na T shirt nyeusi) akiwa kwenye picha ya pamoja sikualipotembelea na kutoa msaada wa chakula na mahitaji mengine katika kitua cha kulelea watoto yatima cha Ebenezer Children Center cha jijini Arusha
NY Ebra kutoka New York akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima alipoenda kutoa msaada kwenye kituo hicho cha Ebenezer Children Center jijini Arusha.
NY Ebra akiongea na watoto hao siku alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Ebenezer cha jijini Arusha na kutoa msaada wa chakula na mahitaji mengine.
NY Ebra akiteta jambo na watoto hao

No comments: