FILAMU YA ROYAL TOUR YAZINDULIWA JIJINI LOS ANGELES NCHINI MAREKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni mbalimbali waliofika kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour katika ukumbi wa Paramount, Los Angeles nchini Marekani leo 21 Aprili, 2022.
No comments:
Post a Comment