ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 22, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA WABUNIFU SEKTA YA FILAMU NCHINI MAREKANI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wabunifu mbalimbali pamoja na Wadau wakubwa wa Tasnia ya Filamu katika Jiji la Los Angeles nchini Marekani tarehe 21 Aprili, 2022.











No comments: