RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)
ANGALIA LIVE NEWS
Wednesday, April 6, 2022
RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA CBE IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment