Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima (katikati), Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza (wapili kushoto), Katibu Baraza Dodo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Lawrence Mgonya (wapili kulia), wakiongoza wajumbe wa Baraza Dogo la Wafanyakazi kuimba nyimbo ya mshikamano, wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji cha kujadili na kufanya tathimini ya Utekelezaji wa Bajeti ya kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa fedha 2021/2022 na mwelekeo wa Bajeti ijayo ya 2022/2023, kilichofanyika katika Ukumbi wa Meja Jenerali Suleiman Mzee Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima, akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji cha kujadili na kufanya tathimini ya Utekelezaji wa Bajeti ya kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa fedha 2021/2022 na mwelekeo wa Bajeti ijayo ya 2022/2023, kilichofanyika katika Ukumbi wa Meja Jenerali Suleiman Mzee Jijini Dodoma.
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza, akisoma taarifa ya Jeshi hilo mbele ya mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima, wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji cha kujadili na kufanya tathimini ya Utekelezaji wa Bajeti ya kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa fedha 2021/2022 na mwelekeo wa Bajeti ijayo ya 2022/2023, kilichofanyika katika Ukumbi wa Meja Jenerali Suleiman Mzee Jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza (wapili kushoto), Katibu Baraza Dodo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Lawrence Mgonya (wapili kulia), na washiriki mara baada ya kufungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji cha kujadili na kufanya tathimini ya Utekelezaji wa Bajeti ya kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa fedha 2021/2022 na mwelekeo wa Bajeti ijayo ya 2022/2023, kilichofanyika katika Ukumbi wa Meja Jenerali Suleiman Mzee Jijini Dodoma. (Picha Zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)
No comments:
Post a Comment