Advertisements

Thursday, March 14, 2024

RAIS SAMIA AONGOZA TAMASHA LA WANAWAKE KUTOKA TAASISI ZA MIF NA TAWiFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, mjini Unguja, Zanzibar Machi 14, 2024 Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA
Baadhi ya Wadau wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
Baadhi ya Wenza wa Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
Baadhi ya Wadau wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024

No comments: