Advertisements

Friday, April 19, 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA UTURUKI JIJINI ISTANBUL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz pamoja na viongozi mbalimbali katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.
Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz akizungumza katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.


Baadhi ya Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Uturuki wakiwa kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

Baadhi ya Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.

No comments: