Friday, August 9, 2024

MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS SAMIA KWENYE KILELE CHA NANENANE DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika moja ya trekta la kisasa mara baada ya hafla ya makabidhiano ya zana za kilimo kwenye kilele cha Siku Kuu ya Wakulima katika viwanja vya Maonesho hayo, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mfano wa Ufunguo Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kama ishara ya makabidhiano ya Zana za mbalimbali za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya kulimia 200 wakati wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria Makabidhiano ya Zana mbalimbali za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya kulimia 200 wakati wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mfano wa Ufunguo Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kama ishara ya makabidhiano ya Zana za mbalimbali za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya kulimia 200 wakati wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia nyanya moja ya mbogamboga mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Moja ya bustani (vipando) zinazotumia mbolea za ndani zikiwa zimestawi vizuri katika viwanja vya Maonesho ya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa hundi kwa vikundi 25 vya vijana wa BBT Mifugo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.1 (1,101,687,500/-) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima NanenaneMaonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wakulima, wafanyabiashara, wageni kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Maonesho hayo, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo, Mtumba Jijini Dodoma wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane, tarehe 08 Agosti, 2024.
Taswira ya jengo la Maabara Kuu ya Kilimo linaloendelea kujengwa, Mtumba Jijini Dodoma

Taswira ya jengo la Maabara Kuu ya Kilimo linaloendelea kujengwa, Mtumba Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Kiwanda cha kuunganisha Matrekta katika eneo la Nzuguni wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane, tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa kadi janja ya mkulima mara baada ya kuzindua kwenye kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akigawa tuzo kwa washindi mbalimbali waliofanya vyema kwenye kilele cha Sikukuu ya Wakulima katika viwanja vya Maonesho hayo, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

No comments: