Monday, August 12, 2024

RAIS SAMIA AHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME JIJINI KIGALI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amahoro kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame Jijini Kigali tarehe 11 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Amahoro kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mhe. Paul Kagame Jijini Kigali tarehe 11 Agosti, 2024.

No comments: