Sunday, October 13, 2024

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA LIGHT UPON LIGHT ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zimbabwe Sheikh Ismail Menk, alipowasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar, lililofanyika 12-10-2024 katika uwanja huo.(Picha na Ikulu)

WASHIRIKI wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar, wakifuatilia kongamano hilo lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua kongamanbo hilo lililofanyika  12-10-2024 na kuwashirikisha Masheikh na Wanavyuoni mbalimbali na Mufti Mkuu wa Zimbabwe Sheikh.Ismail Menk .(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, akielekea katika jukwaa maalumu kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar , lililofanyika 12-10-2024 na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar, lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar jana 12-10-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi mfano wa tiketi ya kwenda kutekeleza Ibada ya Umra Bi. Fatma Haji Muhammad, iliyotolewa na Taasisi ya Light Upon Light, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar, lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar jana 12-10-2024.(Picha na Ikulu)
Mufti Mkuu wa Zimbabwe Sheikh.Ismail Menk akizungumza na kutowa mawaidha wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light Zanzibar, lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuia na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Light Upon Light lililofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 12-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam Zanzibar.Bi. Abla Sultan.(Picha na Ikulu)

No comments: