ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 29, 2025

ALLENA AKAMATA NONDO NORTHEN HIGH SCHOOL, DURHAM, NORTH CAROLINA

Picha juu na chini ni Allena akipata Kodak moment mara baada ya kuhitimu high school Darasa la 2025 katika shule ya Northen High iliyopo Durham, jimbo la North Carolina
Allena akikabidhiwanondo Yake ya kuhitimu high school siku ya maafali ya shale hiyo Alhamisi ya June 12, 2025 Katika Ukumbi wa wa chuo kikuu cha Duke.
Wahitimu wa kidato cha 6 akiwemo Allena wakisubili kuitwa kuchukua nondo zao.
Baadhi ya nudge, Jamaa na marafiki waliofika kushuhudia mafaali hiyo ikifanyika.
Mshereheshaji Anna Simtaji akisherehesha situ ya pati kusherehekea kuhitimu kwa Allena high school
Kati ni Allena na mama Yake wakiingia ukumbini.
Mama baba na Mtoto wakifurahia kwa Allena kumaliza high school
Baba na Mwana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA SOMA ZAIDI
Baba, mama na Mtoto.
Mshereheshaji akifanya maombi ya kumshukuru Mungu.
Baba akiongea jambo.
Dada Mdogo akifurahia dada Yake kuhitimu high school
Mama akimsaidia Allena kukata keki.

No comments: