ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 30, 2026

HII HAPA RATIBA YA MADAKTARI BINGWA NA BOBEZI ZAMU YA JULAI MOSI, 2026 MOI



Ratiba ya  Madaktari bingwa na bobezi watakaokuwa zamu siku ya Jumatano Julai Mosi 2026, kwa Team husika wakitoa huduma ya matibabu ya mifupa ( Team A, Team T , P/OT) uti wa mgongo, ubongo na mishipa ya fahamu (GNS, ENDOSCOPIC, PNS).

Pia daktari mtaalam wa "usingizi na ganzi", moyo, kisukari (PHYSICIAN) n.k watakuwepo.

Karibu  upate huduma.



No comments: