Friday, February 12, 2010

Afrika ya kusini yamuenzi Nelson Mandela


picha chini:Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini(kati) muda mfupi kabla ya kulihutubia taifa katika sherehe za Nelson Mandela mjini Cape Town,alhamisi
juu:Wafuasi wa chama tawala African National Congress(ANC) wakiwa nje ya gereza la Groot Drekenstein kusherehekea miaka 20 ya kuachilia huru Nelson Mandela

No comments: