Friday, February 12, 2010

Tufani kama hii Dc haijawahi kutokea

sio kwamba super market imefilisika,siku moja kabla snow haijashuka watu hununua vyakula vyote

hata ukitoa snow kwenye gari utaenda wapi

wiki nzima watu hawajaenda kazini


e, pamoja na kujitahidi kusafisha hali bado kabisa hii,inaweza kuchukua zaidi ya mwezi snow yote kuyeyuka

No comments: