Sunday, January 30, 2011

Hotuba ya Mh:Balozi Mwanaidi Maajar

Hii ndio hutuba ya Mh:Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kwenye mkutano wa Watanzania DMV kwa kumsikiliza Bofya Hapa

1 comment:

Anonymous said...

Big Up Dj Luke. Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwa Balozi,kwa hotuba makini kabisa na yenye kuleta matumaini. Na pli namshukuru Dj Luka kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika blog hii. Ninaimani kubwa kabisa kwamba "The best is yet to come." Ijapo kuwa sikuweza kuhudhuria mkutano, nimejisikia kama nilikuwepo! mimi ni mtanzania ninayeishi NC. Asante tena, kwa kutuhabarisha kwa kupitia blog makini ya Vijimambo.