Friday, January 28, 2011

Mh.Balozi awaalika Friends Of Tanzania Ubalozi wetu Washington,DC

Mh.Balozi Mwanaidi Sinare Maajar alipokua akiongea na kuwapongeza Friends of Tanzania kwa kazi yao nzuri ya kujitolea na kuijali Tanzania na kuwaasa wasichoke waendelee na moyo huo.
Mh.Balozi Maajar(kulia) akiwa na Rais wa Friends of Tanzania,Pat Kelley kwenye ghafla futi walioandaliwa maalum kuwashukuru kwa kazi wanayofanya kuisaidia Tanzania
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kushoto) akizungumuza mawili matatu na Ed Kneedler(kati) na Lynn Kneedler Friends of Tanzania.
Kushoto ni Jennifer Dellegrazio akiwa na mwenzie wa Friends of Tanzania,Craig Hefner wakati walipokua Ubalozi wetu,Washington,DC
Mh.Balozi wakipata picha ya pamoja na Emmanuel Muganda
Mh.Balozi(kulia) akizungumza na Ed Kneedler wakati wakiendelea kupata machopochopo kwenye ghafla waliyoandaliwa Friends of Tanzania na Ubalozi wetu,Washington,DC
Kutoka kulia ni Rais wa Friends of Tanzania Pat Kelley,Dennis Warner,Afisa Ubalozi Suleiman Saleh,Shante na wajumbe wengine wa Friends of Tanzania.
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) akiongea na Ed Kneedler(kati) wakiwa pamoja na Craig Hefner
kutoka kulia ni Dennis Warner,Shante,Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Rais wa Friends Of Tanzania,Pat Kelley
Katika mazungumzo,kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Dr.Mkama,Asia Dachi na Emmanuel Muganda
Kutoka kulia ni Emmanuel Muganda,Afisa Ubalozi Masanja,Denns Warner,John Hatch,Afisa Ubalozi Suleiman Saleh,Afisa Ubalozi Asia Dachi,Shante na Candy Warner.
kwenye picha ni Afisa Ubalozi,Dr.Mkama(kulia) akiongea mawili matatu na Dan Ehrenberg mmoja wa Friends of Tanzania.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi,Masanja,Craig Hefner,Jennifer Dellegrazio na John Hatch
kulia ni Dr.Hamza Mwamoyo akiwa na Dennis Warner
Kutoka kushoto ni Marolyn Hatch,Dan Ehrenberg,Ed Kneedler na Rais wa Friends of Tanzania Pat Kelley.
kushoto ni John Hatch akiwa na mwenzake wa Friends of Tanzania,Dan Ehrenberg.
Friends of Tanzania,maafisa Ubalozi wakipata picha ya kumbukumbu pamoja na Mh.Balozi Mwanaidi Maajar

No comments: