ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 1, 2012

MISA YA KUMUAGA STEINA MREMA, LEO JUMAPILI JANUARY 1, 2012

Tujumuike pamoja kumuaga ndugu yetu, Mtanzania mwenzetu,kaka yetu na rafiki yetu mkubwa Steina Mrema siku ya Jumapili January 1, 2012 saa 8 mchana na baadae kuaga mwili wa marehemu katika kanisa la Cathederal Of Praise, Lanham, Maryland.

Address ni:
10110 Greenbelt Road,
Lanham, MD 20706


Kwa wakazi wa DMV na karibu na DMV,tunaomba akina dada/mama tushirikiane kwenye mapishi kwa siku hiyo ya kuaga mwili wa mwenzetu,samahani kwa usumbufu maana mambo yamekua ghafla na haraka mno!tunaomba chochote utakachojaaliwa kupika kitasaidia sana. Na akina kaka/baba tunaomba vinywaji laini.


Asanteni sana.

Ukipata taarifa hii mutaarifu mwenzako.


TAFADHALI ZINGATIA MUDA

No comments: