Mandhari ya ukumbi mara tu unapoingia kwa ndani.
Bi harusi akipita kwa mbali kuelekea kwenye meza ya baadhi ya wageni waalikwa
Maharusi wakila pozi maalumu kwa kamera ya vijimambo, kwa kweli wamependeza.
Mduara ulipigwa kama kawaida.
Wageni waalikwa kama walivyo taswiriwa na kamera ya vijimambo
Pozi jingine kutoka kwa maharusi wetu.
No comments:
Post a Comment