ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 5, 2012

NATAFUTA CHUMBA
NATAFUTA CHUMBA CHA KUISHI MAENEO YA LYNCHBURG, VIRGINIA KUANZIA TAREHE 12JANUARY 2012 ILI KUNIWEZESHA KUENDELEA NA MASOMO YANGU KATIKA CHUO KIKUU KIITWACHO LIBERTY  UNIVERSITY, LYNCHBURG, VA  24502, USA. KAMA KUNA MTANZANIA YEYOTE ALIYE NA CHUMBA AU ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUPATIKANA CHUMBA MAENEO YA CHUO HICHO NAOMBA ANIANDIKIE E-MAIL: amosmatali@yahoo.com au simu # 1-240-645-2131
ASANTENI


3 comments:

Anonymous said...

Ndugu yangu mtanzania elimu hutafutwa popote. Pia tafuta historia ya mji uliopo halafu tafsiri neno lynch utapata jibu hakuna watanzania hapo ni "redneck" hoodlum. Angalia sana kijana wasije wakakafanyizia.

Anonymous said...

Lynchburg kuna watanzania, ila wachache. watafute J sisters wanasoma hapo

Anonymous said...

wewe mdau uliyetoa comment hapo juu una jazba la kukosa elimu. watanzania bwana, kwani kila mtu lazima asome montgomery college au strayer?