NATAFUTA CHUMBA
NATAFUTA CHUMBA CHA KUISHI MAENEO YA LYNCHBURG, VIRGINIA KUANZIA TAREHE 12JANUARY 2012 ILI KUNIWEZESHA KUENDELEA NA MASOMO YANGU KATIKA CHUO KIKUU KIITWACHO LIBERTY UNIVERSITY, LYNCHBURG, VA 24502, USA. KAMA KUNA MTANZANIA YEYOTE ALIYE NA CHUMBA AU ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUPATIKANA CHUMBA MAENEO YA CHUO HICHO NAOMBA ANIANDIKIE E-MAIL: amosmatali@yahoo.com au simu # 1-240-645-2131
ASANTENI
3 comments:
Ndugu yangu mtanzania elimu hutafutwa popote. Pia tafuta historia ya mji uliopo halafu tafsiri neno lynch utapata jibu hakuna watanzania hapo ni "redneck" hoodlum. Angalia sana kijana wasije wakakafanyizia.
Lynchburg kuna watanzania, ila wachache. watafute J sisters wanasoma hapo
wewe mdau uliyetoa comment hapo juu una jazba la kukosa elimu. watanzania bwana, kwani kila mtu lazima asome montgomery college au strayer?
Post a Comment