ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 10, 2012

BONGO TAMBALALE

Mkazi wa Dar es Salaam, Saidi Mustafa akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari mgongoni kama alivyokutwa Kinondoni B, Dar es Salaam. Baadhi ya akinababa wanawajibika ipasavyo katika shughuli za familia tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa jamii. (Picha na Fadhili Akida).

2 comments:

Anonymous said...

inapendeza sana !!

Anonymous said...

uwajibikaji au uzembe, huyo mtoto hana any protection...akipata ajali hapo ni hatari tupu.
Ukienda Tz utashangaa kuona watoto kwenye gari bila car seats, huyu mbaba hapa no helmets..mungu anatulinda tu