ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 23, 2012

ACHOTO KAFUNDWA, LEO JUMAMOSI NI KITCHEN PARTY

Wageni wakiingia nyumbani kwa Aunty Grace Sebo wakilakiwa na Somo wa Bi Harusi mtarajiwa, Sophia Mombasa (wapili toka kulia) tayari kwa sharehe za kufundwa kwa Achoto zilizofanyikia Bowie, Maryland, Ijumaa June 22, 2012.
Bi Harusi Mtarajiwa akipata picha na mama yake mzazi wakati wa sherehe yake ya kufundwa iliyofanyika Ijumaa June 22, 2012 Bowie, Maryland nyumbani kwa Aunty Grace Sebo.
Bi harusi mtarajiwa akipata picha ya pamoja na mdogo wake Mariam (kulia) na Mama yake mzazi.
 
Bi Harusi Mtarajiwa akiwa katika pozi
Mama na mwana
 Bi Harusi Mtarajiwa akipata picha na Somo yake Sophia Mombasa ambae ndie aliyeandaa shughulu hii akishirikiana na Aunty Wahida pamoja na Aunty Grace Sebo
 Bi Harusi Mtarajiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
Picha ya pamoja ya ndugu, jamaa na marafiki wa kipozi na Bi Harusi mtarajiwa.
 
Bi Harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
Bi Harusi mtarajiwa akiwa ukumbini.
Bi Harusi mtarajiwa akipata picha ya pamoja na Somo yake na ndugu, jamaa na marafiki.
Bi Harusi akipata picha na Aunty Grace Sebo
Kwa picha zaidi Bofya Read More

Bi Harusi Mtarajiwa akiapata picha ya pamoja na Somo Mkuu Aunty Rehema.

 Bi Harusi Mtarajiwa akipata picha na Mdogo wake, Mariam ( Ashanti)
 Bi Harusi Mtarajiwa akipata picha ya pamoja na Somo Mkuu Aunty Zuhura.

6 comments:

Rachel Siwa said...

Hongera sana bi Arusi mtarajiwa watu wapendeza na kanga za sutu!!!!!
Achoto huyu aliwahi kuishi Ilala na Sinza?

Kila lililo jema.

Anonymous said...

picha nzuri sana na wamependeza wote.

Anonymous said...

Wanawake wa Tanzania warembo sana. Shughuli nzuri sana na Bibi harusi mtarajiwa kapendeza, kwa ujumla wamependeza wote.

Anonymous said...

yaani mmependeza woooote.

Anonymous said...

mmmmhhhh!!! pendeza nyinyi.....best wishes Achoto. God bless you

Anonymous said...

hongera sana jamani, yani umependeza sana yani mno,i wish i could have been there! but we are in Boston.Love you all,and may God blesses you and your are new life that you are about to start.Mrs Furia Masawe.