Nyama choma ya kumuaga Bw. Seneta Megamba Omary Makongoro, hiliyo fanyika Roosevelt Island New York picha zinaonesha matukio na jinsi gani watu walivyo jitokeza na kwenda kuonesha mapenzi yao kwa Bw. Makongoro na familia yake. Hafla hiyo iliandaliwa na wafanya kazi wenzie wa Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations, New York na kuhudhuriwa na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio New york. Bwana Makongoro alikabidhiwa zawadi na pia alipiga picha za kumbukumbu na watu wote waliojitokeza katia hafla hiyo.
|
Kushoto ni Fundi Ramadhan Kombo, Katikati ni bwana Makongoro na Mwisho ni Shaban Mseba Kiongozi wa jumuiya ya watanzania New york. |
|
CEO wa Fundi wa kombo Blog.spot Kushoto nae alikuwepo kwenye hafla hiyo ya chama choma ya kumuaga bwana Makongoro. |
|
Mr. Seneta Magamba Omary Makongoro Kushoto Akiwa na Familia Yake na Kati Ni Hajji Khamis Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania hapa New York. kwa picha zaidi ponyeza (read more)
|
1 comment:
nataka kuliza mbona watanzania waishio new york hawajumuishi meaning mbona wakati mnaanda hizi tafrija party zenu mbona watu hatujui au mpaka tupige simu ubalozini au mpaka tuwe tunajipendekeza kama walivyo wenginewe, because siyo wote tuna tabia za kujipendekeza kwa watu. hii siyo fresh hata kidogo au kuna michango lazima upitishe au uwe mwanachama basi tuabiyeni tujuwe because vitu muhimu kama hivi tunavikosa na wakati sisi ni watanzania kama mlivyo nyinyi, inachukiza sana hii kitu
naomba dj luke uweke hii comment because most of the time ndo wanavyo fanyaga haya.
mhesimiwa ningependa sana kuja kukuaga sema tu ubinafsi umezidi wa watanzania wenzetu wanao andaa hizi shughuli
mdau new york
Post a Comment