Advertisements

Monday, July 16, 2012

BWENI la wasichana wa shule ya Morogoro Sekondari lawaka moto usiku huu


 Mkuu wa shule ya morogoro sekondari Thomas Chihwalo[aliyenyoosha mikono] akimaelezo wa tukio hilo kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera [kati[ na mbunge wa jimbo la Morogoro Aziz Abood uskuu huuMkuu wa shule ya morogoro sekondari Thomas Chihwalo[aliyenyoosha mikono] akimaelezo wa tukio hilo kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera [kati[ na mbunge wa jimbo la Morogoro Aziz Abood uskuu huu
 Bweni hilo likitetekea na moto huo
 Gari la kikosi cha zima moto likiendele kuuzima moto huo i
 Baadhi ya mnafunzi wamepoteza fahamu baada ya kunusurika kwenye janga hilo
 Wanafunzi wakilia
Wakiendelea kuokoa vitu
Picha zote na Blog ya Morogoro yetu

No comments: