Advertisements

Monday, July 16, 2012

PICHA AJALI MBAYA GEITA, ILIYO KATISHA MAISHA YA WATU 11 PAPO HAPO

  
MDAKTARI na Manesi wakijiandaa kutoa huduma kwa mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari hayo katika hospitali ya wilaya ya Geita 
Kwa picha zaidi Bofya Read More lakini
Tunaomba Radhi kwa Picha zote utakazotizama 
MMOJA wa madaktari katika hospitali ya wilaya ya Geita aliyejulikana kwa jina moja la Dk.Makomba,akimhudumia mmoja wa majeruhi wa ajali ya magari matatu yaliyotokea wilayani Geita katika kijiji cha Chibingo.
BAADHI ya ndugu jamaa na marafiki wakitambua miili ya marehemu waliokufa katika ajali ya magari hayo.

INAUMIZA NA KUHUZUNISHA LAKINI NDIO UKWELI WENYEWE’’HII ni baadhi ya miili ya watu waliokufa katika ajali ya magari matatu iliyotokea jana Jumapili majira ya saa 8:30 mchana Mkoani geita.
Majina ya marehemu hao ni Maria Elisante (18) mkazi wa Mganza wilayani Chato,Masasila Benjamin (17) mkazi wa Mkolani mjini Geita,James Ntungirwenge (36) Mkazi wa Nyankumbu Geita,na Eliud Ngovongo (36) pamoja na watoto wake watatu Amin (10),Emison(7),na Sara(4) wote wakazi wa Kalangalala mjini Geita.


(Picha na David Azaria wa Geita yetu Blog )

No comments: