Mhe. Mbuge Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya CCM Dr. Faustine Ndugulile alelezea alichoongea Bungeni kikasababisha yeye kutolewa nje- MSIKILIZE
2 comments:
Anonymous
said...
ahsante sana Dj Luke kwa kutuwekea clip hii ubarikiwe sana mkuu na pia ahsante sana mhe.mbunge wa jimbo la kigamboni DR.Faustine Ndugulile kwa maelezo yako ni kidume mbewe wewe ubarikiwe sana kwa kuwasimamia wananchi wako na nakuombea dua madhara yasikupate because serikali hapendi kuona wasema kweli wapigania haki za wananchi wake kama wewe,nakuombea dua sana mungu akukinge na kila shari zao na uovu wao watakapo taka kukufanyia because wakiona umewakalia kooni na kuwazibia njia serikali hatosita kukufanyizia.
na nataka ujue hili serikali daima huwa inatumia mabavu na nguvu kuazimisha yao wakishindwa kuwa laghai wananchi.Na kama hawajataka kuwashirikisha wananchi wa kigamboni katika mchakato huu basi juu wanataka kutumia mabavu na nguvu zao
hakuna haki kabisa katika dunia hii ila haki ipo kwa mungu na sheria za mwanadammu hazina nguvu kama za mungu si tunajionea wenyewe sasa kuna sheria wamezitunga lakini hawazifuati wakitaka yao yawaendee wanafanya tuu
subutu sheria ya mungu usifuate, utaona kama mzaha lakin mungu akiamua kukulipa utakiona cha moto

On point ! Msomi utamjua sio wababaishaji hao wa kila siku !
Post a Comment