Saturday, July 14, 2012

PICHA NA VAZI TAKATIFU KWENYE MAZISHI YA PATRIN BOSTON MA.

 Hili ni daraja linalopamba mji wa Boston, Ma
 Tiffu kushoto kutoka New Jersey, Dj Mao kutoka New York, Patrick katikati kutoka CT, Na katibu wa jumuhia ya watanzania New york Shaban Mseba kati ya wageni waliohuzuria mazishi ya marehem Patrin. Mazishi hayo yalifanyika Boston, Ma.
 Ally Habibu kushoto rafiki wa karibu wa marehemu Patrin na pia alioa mdogo wa mke wa marehemu, na kulia ni Yahaya kheri kutoka DC.
 Ally Habibu kushoto kutoka Delaware na katikati ni Ny Ebra kutoka NYC na kulia ni Yahaya kutoka DC
Mohammed na rafiki yake wote kutoka Boston mbele ya ukodak wa vijimambo
 Ingawa kifo ni uzuni lakini uwezi kukosa wasaha wa kusmile kidogo mbele ya ukodak wa vijimambo

 Baada ya kurudi toka mazikoni kulikuwa na kisoma cha kumuombea marehemu na watu walipata chakula na kisha kukaa kidogo na kubadirisha mawili ma tatu.
Akina dada nao walipata wasaha wa kusmile na ukodak wa vijimambo.
Wakina mama nao wakijumuika pamoja nyumbani kwa marehemu.
Watanzania, ndugu, jamaa na marafiki wakiwa nyumbani kwa marehemu baada ya maziko.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamejumuika pamoja nyumbani kwa wafiwa baada ya maziko.
wakina mama wakiwa nyumbani kwa marehemu baada ya maziko.
Wakina mama wakipata chochote kitu nyumbani kwa marehemu.

No comments: