Friday, July 13, 2012

Tangazo la Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema DMV


Tunapenda kuwataarifu wanachama wote wa Chadema kuwa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Washington DC Utafanyika Siku ya Jumapili ya tarehe 15 July 2012 kama ilivyoelezwa awali. Mahali utakapofanyika Uchaguzi ni kwenye Address ifuatayo 3121 Queens Chapel Rd, Apt 302 Mount Rainier, MD kuanzia saa saba mchana ( 1:00 pm). Wanachama wote wenye kadi ndio watakaoruhusiwa.
Asanteni

No comments: