Saturday, July 14, 2012

STARS UNITED KUCHEZA NA KENYA, WASHINGTON, DC LEO JUMAMOSI GREENCASTLE


Stars United
Kutakua na mechi kati ya Stars United na Kenya  Leo Jumamosi ya July 14, 2012 saa 11 jioni uwanja # 5 Greencastle, Bagasa Libe anaomba wachezaji wote watakaowezafika DC wamjulishe mapema ili afanywe mipango ya malazi na chakula  na Hii mechi itakua ni moja ya mechi za kujipima nguvu kwa maandalizi ya Houston wakati wa Thanksgiving asante. Bagasa.
Timu ya Kenya

No comments: