Unaweza ukasema ni movie ya SARAFINA au la ...
Watu wapatao 30 wapoteza maisha yao wakitete maslahi yao uko kwa madima kama unavyo ona ni miili ya watu hao hikiwa ime imezagaa baada ya kuuliwa na police walinzi wa mgodi huo wawazungu. Mambo kama haya kwa Africa ni kawaida kutokea je tutaenda kumalizana hadi lini kudai haki yako ndo hiwe mwisho wa maisha yako?. Mungu ibariki Africa |
2 comments:
mambo bado si ndo mnawaona wazungu kila kitu eti na wao wanatuona sisi masokwe tu ndo mana haya yanatokea aisee inatisha lakini mambo bado wanataka kutokomeza ngozi nyeusi kisa ni wazembe, na si waastaarabu kama wao someni mtajua kinachoendelea jamani someni eeeh wanafisha mwisho wanaandika research zao huwa hawafichi tena ukisoma utajua kinachoendelea
mbaya zaidi ni weusi wenzetu ndo wanaotutoa roho kwa mahagizo wa watu baki hao...inakuwaje hapo mwenye rangi kama yako anakubari kutoa roho ya ndugu yake??
Post a Comment