ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 17, 2012

VEN PERSIE APEWA JEZI Na.20, ATAMBULISHWA MAN U

Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akishikilia jezi Na.20 na kocha Alex Ferguson kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akiwa na kocha Alex Ferguson wakati wa kutambulishwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS

Mimi ni Shetani Mwekundu sasa... Arsenal mtajiju... ha ha haaaaa! Robin van Magoli akicheka wakati wa kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kuwa amejiunga rasmi na Manchester United kwa mkataba wa miaka minne. Si unaona mabango ya United nyuma... chezea Fergie wewe?
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie wa Uholanzi akishikilia jezi jirani la nembo ya Manchester United baada kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS

Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie wa Uholanzi akishikilia jezi jirani la nembo ya Manchester United baada kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akishikilia jezi Na.20 na kocha Alex Ferguson kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS
Hii klabu bwana dole tupu.... Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie akionyesha alama ya dole baada ya kutambulishwa kujiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka minne akitokea Arsenal.

No comments: