Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wake wa viongozi mbalimbali (kulia) Mama Zakhia Bilal na (wapili kushoto) Mama Asha Bilal, wakifurahia uzinduzi wa Mpango wa Kasi ya Uwezeshaji wa Wanawake na Wasichana leo katika ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment